Naomba kujuzwa gharama za kujenga fensi ya ukuta kiwanja cha 20x30

Naomba kujuzwa gharama za kujenga fensi ya ukuta kiwanja cha 20x30

Aisee kumbe
Uzuri ujenzi sio kama kununua kitu dukani Mara moja, mwite fundi akupe mchanganuo alafu gawa into two kisha anza na msingi kisha tafakari hatua ya pili ya kunyanyua ukuta, kama nguvu endelea kama haipo pumzika kidogo. Inaweza pia ikawa choni ya hapo (6M au 7M) na finishing Kwa mbele tu maana pande za majirani huwa zinapigwa lipu tu maana wakijenga wataunganisha huna haja ya kufanya finishing kama rangi
 
Ya ndo uzuri wa ujenzi anaweza Anza mdogo mdogo lakini ukweli eneo la 20*30 sio dogo lazima pesa itumike ya kutosha
 
Kwa ukubwa huo wa kiwanja, inaweza ikagharimu shilingi ngapi kuzungusha fensi ya ukuta (Maji ya kutumia kwenye ujenzi yapo ya kutosha)
Tofali 2650 2,650,000/=
Cement 53bags 795,000/=
Mchanga trip moja (15m³) 230,000/=

Kama utaweka mkanda ongezea
Nondo 25 650,000/=
Cement 19bags 285,000/=
Kokoto trip 1 (3m³) 340,000/=

Assumption made
Mkanda wa nondo tatu (triangle)
Msingi kozi 5
Juu kozi 8
Kila kozi inakula tofali 208
 
Ya ndo uzuri wa ujenzi anaweza Anza mdogo mdogo lakini ukweli eneo la 20*30 sio dogo lazima pesa itumike ya kutosha
Yes ni kikubwa hicho, inafika 10m kama ulivyokadiria kama akifuata hatua zote maana wengi wanapiga nguzo za kupishanisha tofari kukwepa cost ya nondo!

Material tu yanaweza fika 5m, hapo tofari zinaweza kuwa 2500 au 2000 bila msingi (2.5m) ukiongeza na msingi (kwa Mwanza unaweka trip 20 mawe ya msingi kama 1.2 milion ila kwa Dar na sehemu zingine wanatumia msingi wa tofari inaweza cheza humo humo), weka mchanga, weka kokoto na weka cement na bado ufundi
 
Bora Ile ya waya tuukama ndio hivyo
 
mzingo wa hilo eneo ni futi 600 ukijenga mzunguko mmoja wa tofali za ft 1.5 utatumia tofalitakribani 375..ukijenga mzingi wa tofali cozi 4 utatumia tofali 1500
ukinyanyua ukuta cozi 10 utatumia tofali3750 ukijumlisha umapata tofali 5250 fanya elf sita tofali...nguzo za nondo zitzkuwa 16 kila nyuzo inakula nondo moja beam ya triangle, ukipiga lenta moja utatumia ndondo 60 beam ya triangle sasaukipiga lenta 2 na mkanda wa msingi ni wewe maana mzunguko wa ukuta wako ukilaza nondo moja moja zinaingia nondo 20...kokoto tipa moja mchanga tipa 5-8 gharama nyingine ni za mafundi na mbao au marini bodi za lenta...jumlisha hivyo vitu kwa bei uliyopo utapata bei si chini ya m10+ kwa maeneo nililopo
 
Bora Ile ya waya tuukama ndio hivyo
Usiopope mkuu,jenga hata msingi kwa kuanzia lakini pia mwite fundi akupe gharama halisi ili uwe na way forward au piga hiyo gharama ya fence ya wire alafu ulinganishe kama ingekuwa fence ya matofari, hizo gharama zingekufikisha wapi
 
Tofali 2650 2,650,000/=
Cement 53bags 795,000/=
Mchanga trip moja (15m³) 230,000/=

Kama utaweka mkanda ongezea
Nondo 25 650,000/=
Cement 19bags 285,000/=
Kokoto trip 1 (3m³) 340,000/=

Assumption made
Msingi kozi 5
Juu kozi 8
Kila kozi inakula tofali 208

Hakika ww ni mtu makini
 
Back
Top Bottom