Naomba kujuzwa gharama za kujenga fensi ya ukuta kiwanja cha 20x30

Very nice
 
Yaah fensi inakula tofari kuliko nyumba yenyewe
Sio tofali tu Hadi nondo zinaliwa maana itabidi ujenge msingi wa zege. Na At least kila baada ya mita tatu pasimame nguzo ya zege iliyosheheni nondo . Bila ya hivo huo ukuta hautakuwa imara .
 
Mkuu Jishike, tena hapo Cost n za kusimamisha tofali kuna wengine wanalaza Tofali sio masihara mzee.

ingia kwenye fensi baada ya kumaliza mambo yako ya muhimu or else jenga fensi kama unaweka hela kwenye kibubu ndio utafanikisha kitu kwa ubora.

Ukishika 500k nenda ita fundi aguse eneo a hadi b.. hvyo hvyo hadi unamaliza.

Saivi pasuka kwenye Msingi wa hiyo Fensi kwanza, Zungusha Msingi wako kisha Kausha kimya,kila ukipata visent itafundi pandsha tofali...

hvyo hvyo mpk kukata mwaka fensi kali sana ishazunguka, sasa Unajipanga Kuitandika PLASTA ya VIWANGO vya Stiglers Gauge...

ila ukisema ujenge yote kwa mara 1 usipoishia kati niiite DOGI, au else utajenga kwa kujikaza na utajenga vitu vibovu low quality, Jenga Fensi kwa Awamu usije rudia jenga mara mbili Mvua zinaumbuaga sana watu waliokurupuka Jenga fensi kwa kuunga unga.
 
Ushauri mzuri ninapanga kuweka ya waya lakini Naona haitakua poa na haipendezi
 
Hapa umetu
Hapa umetumia formula gani kiongozi kupata idadi ya tofali cement mchanga kama hutajali
 
Nimependa ulipoamua kitumia hesabu kujibu hili swala.

Ila nikusahihishe tu kia anaposema Kiwanja ni 20 x30 hapo anamaanisha ENEO, sio MZINGO (Mzunguko).

Mzingo wa Kiwanja Cha 20 x 30 ni 20+20+30+30 = 100.

Pili mleta mada hakusema hiyo 20 x 30 ni futi au meter so hesabu zinaweza kubadilika pia.
 
Hizo lazima zitakuwa mita. Ulishawahi kuona wapi fensi ya futi 20*30? Wakati mzunguko wa nyumba tu yote unazid hivyo vipimo
 
Hizo lazima zitakuwa mita. Ulishawahi kuona wapi fensi ya futi 20*30? Wakati mzunguko wa nyumba tu yote unazid hivyo vipimo
Dah,
Sijui hata umeeleza nini. Unapoamua kutoa judgement bas vaa ushusika wa pande zote mbili. Uswahilini watu wanauziana viwanja mpaka vya hizo futi. Usi generalize kua LAZIMA ziwe mita.

Labda kwako kiwanja Cha huo ukubwa ndio hakitoshi lakin kwa wengine huo ni ukubwa wa kawaida tu.
 
Nakuelewa lkn hebu tuweke katika uhalisia na sio kubishana, ukisikia mtu anasema fensi lazima ujue kuwa eneo linakidhi vigezo vya kujenga nyumba au kuwekezwa kitu na kuwekewa uzio. Futi ni ndogo Sana ni Sawa na vyumba viwili au chumba sebule kwa mrefu eneo inaisha. Kama ulishawahi kujenga tutajua nini namaanisha. Ila yote ni sawa
 
Na kama utalaza tofali kwa urefu wa kozi 9 za kusimamisha, zitaimgia tofali ngapi ili kufikia kimo hiko?.
 
Na kama utalaza tofali kwa urefu wa kozi 9 za kusimamisha, zitaimgia tofali ngapi ili kufikia kimo hiko?.
Hapo mwisho kwenye assumption nimeandika kila kozi moja inakula tofali 208, utaongeza tofali 208 kwa kila kozi itakayozidi hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…