Naomba kujuzwa gharama za kusafirisha Tani moja (kilo 1000) za nafaka kutoka MBEYA kuja Dar?

strategist22

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Posts
655
Reaction score
599
Hello habari,

Naomba kujulishwa gharama za kusafirisha Tani moja (kilo 1000) za nafaka kutoka MBEYA kuja DAR.

Na utaratibu mwingine kama upo.

Asante.

Heri ya mwezi mpya. Ukawe mwezi wa mafanikio.
 
Na wese limepanda lazima ujutie kura kwa Mbunge wako aliyepitisha Tozo za mafuta na miamala
 
kilo moja huwa wanasafirisha kwa shilingi 70 kwa tani moja itakuwa elfu 70 ila magari mengi yanataka uwe na mzigo kuanzia tani 10 labda uchanganye na watu wengine. Pia kama huko barabarani kuna magari yenye ving'amuzi hayatakiwi kutoka nje ya barabara kuu wanaweza kukuchukulia kwa bei ya chini
 
Ni Road. Asante
 
Back
Top Bottom