Naomba kujuzwa gharama za kusafirisha Tani moja (kilo 1000) za nafaka kutoka MBEYA kuja Dar?

Naomba kujuzwa gharama za kusafirisha Tani moja (kilo 1000) za nafaka kutoka MBEYA kuja Dar?

Usije ukalogwa utumie TAZARA kwa huo mzgo utajuta, treni waachie wanaochukua behewa nzma tafuta tu malori
Naunga mkono hoja,
Tazara haijawai kua mkombozi hata kidogo.

Hiyo garama ya sh. 70 kila kilo, hapo Ni bila Kodi ya TRA, Bado VAT Kama mzigo unaenda mjini.

Ujaweka gharama za upakiaji&ushushaji. Tena utingo wa TAZARA wanajipangiaga Bei wanazojua wao.

Bado gharama za kuupeleka mzigo tazara na kuutoa tazara uupeleke sokoni.

Wkt fuso linapaki KABISA sokoni, na washushaji mnabargain Bei fair KABISA.

SINA HAMU KABISA N TAZARA MIMI.
 
hyo tsh 70 sio tazara, Tazara calculation zao znapigwa kwa USD pale ni janga kabisa
 
mm nilipelekaga madumu yangu pale IYUNGA mbeya yalikuwa kama 15 ya asali nisafirishe kwenda dar bei walionitajia mbona nikaita kirikuu nikatafute tu LORI
 
Back
Top Bottom