strategist22
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 655
- 599
Hapana. GariKwa ungo au! maana huo usafir ndio bei chee
Kwa sasa gharama zikoje?Na wese limepanda lazima ujutie kura kwa Mbunge wako aliyepitisha Tozo za mafuta na miamala
Gharama zikoje?Nope Hilo deal kaka nikupe usafiri kama upo mbeya town
Kaka. Samahani sijakuelewaPetrol 2618 diesel 2398
Upo serious af nafaka za aina Gani unazosemea wwGharama zikoje?
Unatakiwa kuelewa gharama za usafirishaji zinapanda siku hadi sikuKaka. Samahani sijakuelewa
Mchele na maharage.Upo serious af nafaka za aina Gani unazosemea ww
Najua. Hizo ulizoandiga ni gharama za kusafirisha au mafuta? Nataka za kusafirisha.Unatakiwa kuelewa gharama za usafirishaji zinapanda siku hadi siku
Ngoja nifatilieTumia treni, ila gharama sijui
Tani moja tunasafirisha kwa 170k hadi Dar es salaam.Ngoja nifatilie
Sawa asanteTani moja tunasafirisha kwa 170k hadi Dar es salaam.
Ni Road. Asantekilo moja huwa wanasafirisha kwa shilingi 70 kwa tani moja itakuwa elfu 70 ila magari mengi yanataka uwe na mzigo kuanzia tani 10 labda uchanganye na watu wengine. Pia kama huko barabarani kuna magari yenye ving'amuzi hayatakiwi kutoka nje ya barabara kuu wanaweza kukuchukulia kwa bei ya chini