Alafu nimekuja huku kwenye jukwaa la ujenzi kukutafuta wewe, then jibu ililo toa kama mfanya biashara limenifanya niogope kuanzisha mazungumzo ya kazi na wewe aloooKama unaona hela ni nyingi, fanya wewe mwenyewe
Hizi kazi za watu mnazifanyia hesabu rahisi sana...Hao vibarua kwa kazi ya Zege hulipwa 25,000 hadi 35,000 kwa siku.
Chukulia wapo 10
Msimamizi wao, yaani fundi Kiongozi analipwa 50,000 hivyo kwa kazi yote jumla muombe aifanye kwa 400,000 isizidi 500,000
4th floor kwa tshs 25,000@Labour asee uliwaumiza sana.Huenda nilipigwa
Ila kazi ya zege nimewahi kulipa 25,000 kwa kichwa na walikuwa vijana 25 maana ilikuwa zege ya slab ya ghorofa ( 4th floor) na ilikuwa wanabeba kwa kichwa.
Gharama inategemeana na bargain power yako
Pamoja na kuwalipa hela hiyo, kuna mdau hapo juu amesema eti niliwalipa zaidi.4th floor kwa tshs 25,000@Labour asee uliwaumiza sana.
Hii ilikuwa kazi yangu, kwahiyo ili nipate faida kidogo lazima niwe too economicalHizi kazi za watu mnazifanyia hesabu rahisi sana...