Naomba kujuzwa gharama za kutengeneza sakafu rafu

Naomba kujuzwa gharama za kutengeneza sakafu rafu

Hao vibarua kwa kazi ya Zege hulipwa 25,000 hadi 35,000 kwa siku.

Chukulia wapo 10

Msimamizi wao, yaani fundi Kiongozi analipwa 50,000 hivyo kwa kazi yote jumla muombe aifanye kwa 400,000 isizidi 500,000
Hizi kazi za watu mnazifanyia hesabu rahisi sana...
 
Huenda nilipigwa

Ila kazi ya zege nimewahi kulipa 25,000 kwa kichwa na walikuwa vijana 25 maana ilikuwa zege ya slab ya ghorofa ( 4th floor) na ilikuwa wanabeba kwa kichwa.

Gharama inategemeana na bargain power yako
4th floor kwa tshs 25,000@Labour asee uliwaumiza sana.
 
Kumwaga zege ni tofauti na ufundi wa kawaida, kwa nyumba nzima hiyo weka 300k ya ufundi. Vijana 10 20k-25k, fundi mkuu wa kusimamia 35k-40k.

Uzuri wa kazi hii huwa hailali, inaanza mapema na kuisha same day kwa nyumba ya size hiyo.
 
Back
Top Bottom