PropagandistKuna ndugu yangu amelazwa hapo KCMC dawa na sindano n mtihani. Sindano moja 330,000 zinatakiwa ,6 na Leo anachomwa ya 6. Piga 330,000×6=1,980,000 bado dawa. Mpaka sasa zimetumuka zaidi ya ,milioni 3 kwenye sindano na dawa na bado hajapona. Huku pia akipiga dose za kiasili...
Ndo ipo ivi?
Yakikukuta utabadili propaganist kuwa realisticsPropagandist
Shindwa pepo!!!Tuna zika ama tunasafirisha?
Kwajina la yesu amen acheni ujinga where is covid19?Shindwa pepo!!!
Hongera sana mkuu. Siku Corona ikikatiza kwenye familia yako au kwa mtu wako wa karibu nafikiri utatafakari mara mbili. Tunamshukuru Mungu ndugu yetu KCMC Oxygen ilikuwa 40 kwa sasa iko zaidi ya 80.Propagandist
sio propaganda mkuu ni kweli aminiPropagandist
Jamani[emoji26][emoji26] am sorry for the loss jamani.. i amnso sorry. Hauko mwenyewe muhanga. Tumeshazika. Na kesho tunazika. Na bado kakangu yuko mloganzila oxygen iko chini mnoooo. Eeh Mungu mponye kaka Bruno. Its very hard. We are lost sheeps. Mwenyezi Mungu ukawe faraja kwetu soteBaba yangu ameshafariki anyway [emoji26]
Pole sanaBaba yangu ameshafariki anyway [emoji26]
Pole sana kaka mkubwa, jipe moyo mkuu.Baba yangu ameshafariki anyway [emoji26]