Baba yangu ameshafariki anyway [emoji26]
Pole sana mkuu. Hizi serikali zetu zinajua kutukamua kodi tu.
Issue ya ugonjwa huu ilipaswa kuwa priority.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba yangu ameshafariki anyway [emoji26]
Pole sana kwa msibaBaba yangu ameshafariki anyway [emoji26]
Pole sana mkuu. Mwenyewe juzi tumezika wifi yangu.Jamani[emoji26][emoji26] am sorry for the loss jamani.. i amnso sorry. Hauko mwenyewe muhanga. Tumeshazika. Na kesho tunazika. Na bado kakangu yuko mloganzila oxygen iko chini mnoooo. Eeh Mungu mponye kaka Bruno. Its very hard. We are lost sheeps. Mwenyezi Mungu ukawe faraja kwetu sote
Pole sana mkuu. Mwenyewe juzi tumezika wifi yangu.
Jana kuna Dr jirani nae kafariki.
Hii corona Mungu atusaidie
Ooh jamani[emoji26][emoji26] polenii sana. Poleni jamani. Poleni sana. Yaan kinachokera inakuopiga kama utani. ...Pole sana mkuu. Mwenyewe juzi tumezika wifi yangu.
Jana kuna Dr jirani nae kafariki.
Hii corona Mungu atusaidie
Pole sana ndugu yanguBaba yangu ameshafariki anyway [emoji26]
Asante sana. Ni kweli kama utani vile...Ooh jamani[emoji26][emoji26] polenii sana. Poleni jamani. Poleni sana. Yaan kinachokera inakuopiga kama utani. ...
Yaani wee aacha tu!Ooh jamani[emoji26][emoji26] polenii sana. Poleni jamani. Poleni sana. Yaan kinachokera inakuopiga kama utani. ...