Naomba kujuzwa gharama za material ya kutengeneza gril

Naomba kujuzwa gharama za material ya kutengeneza gril

Lundavi

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2016
Posts
327
Reaction score
324
Habari naomba tujuzane kuhusu gharama za material zinazotumika kutengeneza gril kama hizi.

IMG_20220422_085720_821.jpg
 
Square Pipe 1¼" @ 18000
Flat bar 1" 4mm @ 13000
Angle line 1" 4mm 40000
Welder rod 1kg @ 5000
Red oxyside 1lt @ 8000
Hinger 1pc @ 2000
Cutting disc @ 5000
Windows lock @ 4000
Granding disc 6000
Brush 3" @ 3000
Transport and labourcharge depend the location
 
Hii itakusaidia Material yanayotakiwa Madirisha yangu yalikuwa SitaView attachment 2224576
Hiyo moja na nusu kwa moja ndiyo frame au maana naona kama hazitoshi kwa madirisha sita,, au hizo ni dirisha la futi nne kwa nne iliyotolea hesabu,,
Na la mtoa post ni kama la futi tano kwa tano au sita kwa sita!!!
 
Badala ya flat bar, tumia 12mm nondo, Square pipes au round pipes. Flat bar hazina uimara kabisa.

Frame 1¼×1¼ @16,000-18,000 inategemea wapi.
Partitioning 1x1 au ¾round pipe @13,000-15,000
Sticks no.10 5kg 22,000-25,000.
Cutting Disc @5,000
Grinding disc @5,000
Redoxide 4l @24,000
Brush 2½ @2,500
Bawaba @1,000
Stopper 12mm @2,500
Ufundi
Usafiri.

Usitumie flat bar, zina usalama mdogo.
 
Madirisha 6 material 1m? Yana ukubwa gani?
Hawa ndio wale mafundi wanaotumia bomba "nyeupe" za kiboko au wanaenda sita Steel wananunua zile rejects ili kutengeneza faida kubwa. Zikipigwa Redoxide kabla hujaangalia kazi yako huwezi kujua chochote.
 
Hawa ndio wale mafundi wanaotumia bomba "nyeupe" za kiboko au wanaenda sita Steel wananunua zile rejects ili kutengeneza faida kubwa. Zikipigwa Redoxide kabla hujaangalia kazi yako huwezi kujua chochote.
Mkuu mimi nimeona kama nyingi sana kwa grill.
 
Ndogo 150*150cm kuna kubwa zaidi
Mh, mkuu kwa bei za sq. pipes sasa hivi naamini hizo bomba ni nyepesi mno.. 0.8mm tena nyeupe. Standard ya kawaida ni 1mm thickness, wenye uwezo wanatumia 1.2mm. Hiyo 100k hata materials tu ni kuungaunga.
 
Back
Top Bottom