Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Poleni na majukumu wa JF!
Naombeni msaada wa kujua gharama za kujenga Shimo la Choo.
Naombeni msaada wa kujua gharama za kujenga Shimo la Choo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo mkoa gani? unataka mashimo ya kisasa au yale ya kizamani? Kama upo dar just DM me ntakutengenezea shimo la kisasa lisilojaa
Unatumia shimo moja au unayo mawili? Maana wengi naona wanaweka lile la square na la round.Duara mpaka kufunika, inakadiriwa 1.5 M, mwaka 9 huu sijaona changamoto yoyote
Moja tuUnatumia shimo moja au unayo mawili? Maana wengi naona wanaweka lile la square na la round.
Very true sisi tulihamia makazi mwaka 1992 nikowa dogo kabisa tumekaa pale watu tisa mpaka tunahama pale mwaka 2000 hatukuwahi ita gari la kunyonya tukahamia makazi mapya mpaka najitegemea na leo bado wazazi wanaishi hakuna siku imewahi jaa. Mind you watu tulikuwa kama 101.3 M - 1.5 M style ya zamani which i recommend…achana na style mpya. Tumia tofali flani hivi zenye matobo katikati maji yanajichuja chini chenyewe hakijai.
Kujaza chemba sio masihara joh. Watu wengine wana mashimo style ya zamani na miaka kibao hayajai kuna ujengaji flani fundi anatumia tofali zenye matobo au anaacha nafasi kwa tofali za kawaida ya maji kupotea ardhini.
Siku limit lakini.
Very true sisi tulihamia makazi mwaka 1992 nikowa dogo kabisa tumekaa pale watu tisa mpaka tunahama pale mwaka 2000 hatukuwahi ita gari la kunyonya tukahamia makazi mapya mpaka najitegemea na leo bado wazazi wanaishi hakuna siku imewahi jaa. Mind you watu tulikuwa kama 10
Kitaalam inatakiwa yawe mawili (duara na mstatili), ila kama mfuko hauko vizuri ukijenga moja (la mstatili) inatosha. Shimo la duara ni kwa ajili ya maji maji (fluids) na shimo la mstatili ni kwa ajili ya uchafu (solids).Unatumia shimo moja au unayo mawili? Maana wengi naona wanaweka lile la square na la round.
Hii bei uliyotaja hapo bado iko hivyo kwa sasa au imebadilika? Na mashimo yote una maanisha za round na rectangle gharama ni hiyo tu au ni kwa round peke yakeKaribu tukuhudumie kwa bei Nzuri.....
Mashimo ya choo ya kisasa
[emoji736]Gharama nafuu
[emoji736]Hakuna kunyonya majitaka
[emoji736]Hutumia nafasi ndogo
[emoji736]Hayatoi harufu
[emoji736]garantii unapatiwa
[emoji736]Hutumika hata kwenye chemchem
Kwa gharama ya Tsh 1.5 M tunakukabidhi Shimo limekamilika!
Hii inajumuisha ujenzi wa chamber zote na mabomba ya maji machafu kutoka kwenye chamber hadi kwenye Shimo....Karibu tukuhudumie
Tupigie 0789 005 562
Watsap Wa.me/255789005562View attachment 2219298View attachment 2219299View attachment 2219300
Gharama za yote mawili zikoje Chief?Kitaalam inatakiwa yawe mawili (duara na mstatili), ila kama mfuko hauko vizuri ukijenga moja (la mstatili) inatosha. Shimo la duara ni kwa ajili ya maji maji (fluids) na shimo la mstatili ni kwa ajili ya uchafu (solids).
Hapo ni Mashimo Mawili...Moja la tofari na moja la mawe! Gharama hiyo ni kila kitu Kwangu hadi nakabidhi shimo tayari kwa matumizi!Hii bei uliyotaja hapo bado iko hivyo kwa sasa au imebadilika? Na mashimo yote una maanisha za round na rectangle gharama ni hiyo tu au ni kwa round peke yake