Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu futi 4 si ni kama mita moja tu? How come shimo la mita moja lisijae kirahisi? Maji ya bafuni nayo yataelekezewa huko huko kwenye hii chemba?OFA.....OFA
KWA WAKAZI WA DSM nakupa Offer ya MILLION 1 TU NAKUJENGEA SHIMO LA KISASA NA LINAKAMILIKA KILA KITU...Na wewe NJOO NA OFFER YAKO NA UNIAMBIE UPO SEHEMU GANI NIONE KAMA NAWEZA KUKUFIKIA KWA HARAKA
Wakazi wa DSM NA MKOANI AMBAPO MVUA ZINAENDELEA KWA USALAMA WA CHOO CHAKO NA GHARAMA NAFUU KABISA!
[emoji736]Gharama nafuu
[emoji736]Hakuna kunyonya majitaka
[emoji736]Hutumia nafasi ndogo
[emoji736]Hayatoi harufu
[emoji736]Hutumika hata kwenye chemchem
Kwa gharama ya Tsh 1M TU tunakukabidhi Shimo limekamilika! (NJOO NA OFFER YAKO NIONE KAMA NITAWEZA KUKUSAIDIA)
Hii inajumuisha ujenzi wa chamber zote na mabomba ya maji machafu kutoka kwenye chamber hadi kwenye Shimo....Karibu tukuhudumie.....Wakati wa kujenga ni huu!
Maelekezo Zaidi nitaWeka kwenye comments!
Tupigie 0789 005 562
Watsap Wa.me//255789005562
#ujenziwanyumbaboratz #Choobora #ujenzi #ujenzizone #ujenzieatv #ujenzidsm #Kelv #finishingtouches #FinishingMaster #ujenzizanzibar #ujenzitzView attachment 2904047View attachment 2904048
Poleni na majukumu wa JF!
Naombeni msaada wa kujua gharama za kujenga Shimo la Choo.
Hakuna mahali pameandikwa futi 4 mkuu!Mkuu futi 4 si ni kama mita moja tu? How come shimo la mita moja lisijae kirahisi? Maji ya bafuni nayo yataelekezewa huko huko kwenye hii chemba?