Naomba kujuzwa gharama za shimo la Choo

ISHI KISASA ZAIDI....!!!!!!

Tunatoa Hudumu ya ujenzi wa mashimo ya vyoo vya kisasa ni vyoo Bora na salama Kwa matumizi ya kila mtanzania

Sifa za vyoo vya kisasa.

[emoji1666] Ni Imara na vina ubora wa Hali ya juu.

[emoji1666] Ujenzi wake Hutumia eneo dogo

[emoji1666] Ni rafiki Kwa mazingira (Havitoi harufu mbaya)

[emoji1666] Hudumu kwa mda mrefu (si rahisi kujaa)

[emoji1666] Vinafaa Kwa matumizi ya makanisani/ miskitini, shuleni, hospital, nyumba za kuishi n.k

[emoji1666] Vinafaa maeneo yote yaani sehemu za kichanga, mfinyanzi, n.k

[emoji1666] Urefu futi 10 na upana futi 6 baada ya kuset tofari zinabaki futi 4 hadi 4.5

Na Haya mashimo gharama yake ni 1,200,000/ kwa mikoa Yote Tanzania

NB. Gharama zote za vifaa ni ndani ya bei tajwa yaani ni juu yetu.

Tunapatika Temeke Dar es salaam Tanzania na tunafanya kazi mikoa yote Tanzania bara na visiwani. Kwa mawasiliano zaidi tupigie 0789005562

By

Kelvin Hk
 
@followers
@highlight

By

Kelvin Hk
 
OFA.....OFA

KWA WAKAZI WA DSM nakupa Offer ya MILLION 1 TU NAKUJENGEA SHIMO LA KISASA NA LINAKAMILIKA KILA KITU...Na wewe NJOO NA OFFER YAKO NA UNIAMBIE UPO SEHEMU GANI NIONE KAMA NAWEZA KUKUFIKIA KWA HARAKA

Wakazi wa DSM NA MKOANI AMBAPO MVUA ZINAENDELEA KWA USALAMA WA CHOO CHAKO NA GHARAMA NAFUU KABISA!

[emoji736]Gharama nafuu
[emoji736]Hakuna kunyonya majitaka
[emoji736]Hutumia nafasi ndogo
[emoji736]Hayatoi harufu
[emoji736]Hutumika hata kwenye chemchem

Kwa gharama ya Tsh 1M TU tunakukabidhi Shimo limekamilika! (NJOO NA OFFER YAKO NIONE KAMA NITAWEZA KUKUSAIDIA)

Hii inajumuisha ujenzi wa chamber zote na mabomba ya maji machafu kutoka kwenye chamber hadi kwenye Shimo....Karibu tukuhudumie.....Wakati wa kujenga ni huu!

Maelekezo Zaidi nitaWeka kwenye comments!

Tupigie 0789 005 562
Watsap Wa.me//255789005562

#ujenziwanyumbaboratz #Choobora #ujenzi #ujenzizone #ujenzieatv #ujenzidsm #Kelv #finishingtouches #FinishingMaster #ujenzizanzibar #ujenzitz
 
Mkuu futi 4 si ni kama mita moja tu? How come shimo la mita moja lisijae kirahisi? Maji ya bafuni nayo yataelekezewa huko huko kwenye hii chemba?
 
FANYA UPUUZ WOTE ILA USIROGWE UKAJENGA HAYO MAVYOO YA KISASA... NI UPUUZ TU
 
[emoji320]๐Ž๐…๐€ ๐Š๐”๐๐–๐€ ๐Ÿ’๐ŸŽ% ๐™๐ข๐ฆ๐ž๐ฉ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ณ๐ฐ๐š

Gharama ya ujenzi ni 800,000 mteja utanunua mchanga tu kwa ujenzi wa shimo moja, kwa ujenzi wa mashimo mawili ni 1,200,000 kila kitu juu yetu.

MIKOANI gharama ni 1,000,000 shimo la tofali na 1,300,000 shimo la tofali pamoja na shimo la mawe kwa pamoja....

Kwa gharama hizi nakupa offer ya Kukununulia bomba za kuunganisha kutoka chember hadi ukutani na chember nitakujengea BURE

Tupigie kwa no. 0789005562

[emoji724][emoji775][emoji840]Hizi ni baadhi ya sifa za choo hichi [emoji116]
Hupoteza maji taka kwa njia ya ardhi (hakijai)
Hutumia eneo dogo Sana ardhi kulinganisha na mashimo ya kale
Havitemi harufu ndani kwa harufu hupotelea ardhini
Hupendezesha mazingira kwani unaweza kulijenga lisionekane
Gharama zake ni rafiki Sana kulinganisha na mfumo wa kale

Piga simu Utajibiwa kwa haraka 0789005562
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ