kwauelewa wangu mafundi wanatofautiana kulingana na stage ya ujenzi ambayo upo kwanzia msingi,boma,kupauwa mpk finishing sasa ukigeneries hivi labla unataka kumpa kazi engineer akukabidhi mjengo wakoFundi,asante mkuu tunapambana tu
Hiyo ndio nyumba ndogo? Ma weee usije ishia kwenye BOMA 🏃🏃Habari ndugu zangu,
Jamaa yenu nataka mwaka huu niachane na upangaji kwa wenye utaalamu naomba kujua gharama za ujenzi wa nyumba ya vyumba vinne sebule choo na jiko kwa fundi.
Nimeuliza gharama ili nijue namna ya kupatana nisije kupigwa sana, eneo ni Chanika -- kiwanja kiko flat hakuna milima.
Andaa milioni 35 kama kianzioHabari ndugu zangu,
Jamaa yenu nataka mwaka huu niachane na upangaji kwa wenye utaalamu naomba kujua gharama za ujenzi wa nyumba ya vyumba vinne sebule choo na jiko kwa fundi.
Nimeuliza gharama ili nijue namna ya kupatana nisije kupigwa sana, eneo ni Chanika -- kiwanja kiko flat hakuna milima.
Vyumba 4 sio nyumba ndogo na gharama inategemea kwenye material utakayotumia si chini ya 40mHabari ndugu zangu,
Jamaa yenu nataka mwaka huu niachane na upangaji kwa wenye utaalamu naomba kujua gharama za ujenzi wa nyumba ya vyumba vinne sebule choo na jiko kwa fundi.
Nimeuliza gharama ili nijue namna ya kupatana nisije kupigwa sana, eneo ni Chanika -- kiwanja kiko flat hakuna milima.
Dah!anyway Jana nilikuwa na fundi naona itakuwa chini kidgo ya hiyo hesabu zilienda poa
Kwanini inasema sio ndogo? Ni kubwa kwako ila kwake ni ndogo.Unataka gharama za ujenzi wa nyumba au ya fundi? Afu hiyo ya vyumba 4 sio ndogo mkuu
Sawa mkuu ila niko site angalau hadi sasa hesabu hazijawa vibaya patapo baki nitamalizia nikiwa humo humoNi ngumu sana kwa nyumba ya vyumba 4 kuwa chin ya hela hiyo mpka ikamilike! Fundi lazma akupe estimate za chin hili apate kazi na ukiingia na mentality hyo ya kuamini mafundi jasho litakutoka!
Yaan kusimamisha boma lote mafundi awape 1m au sijaelewaHapo mkuu kwa ujenzi tuuh andaa kitu kama million 1 kwa malipo ya mafundi