Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Pole mkuu ndio maendeleo hayo!Brother wewe ni mtalaamu haswa wa ujenzi I wish ningekushirikisha hatua kwa hatua ni kweli lazima nifikie hicho kiasi kukamilisha mipango ya ujenzi kwa Sasa Niko gypsum na tiles na nimechoka hatari