Naomba kujuzwa hatua za kufuata niweze kokodisha boat binasfi

Naomba kujuzwa hatua za kufuata niweze kokodisha boat binasfi

jaja34

New Member
Joined
Jun 2, 2023
Posts
1
Reaction score
1
Wakuu habari zenu!

Hivi mtu ukiwa na boat na unajitaji kuifanyia huduma za kupeleka watu uko Bongonyo Island or Mbudy je unafanya process?

Namaanisha process zote za kupaki na kupeleka watu kuinjoi zikoje?
 
Kwanza inatakiwa ikaguliwe na surveyor kutoka Tasac, kisha usajili na upate certificate of Seaworthiness kutoka Tasac.

Sehemu ya kupaki utalipa kwa wenye eneo au kuchangia gharama za hapo unapopakia na kushusha abiria kama ni Sleep way au kule kisiwani Mbudya.
 
Back
Top Bottom