Kwanza inatakiwa ikaguliwe na surveyor kutoka Tasac, kisha usajili na upate certificate of Seaworthiness kutoka Tasac.
Sehemu ya kupaki utalipa kwa wenye eneo au kuchangia gharama za hapo unapopakia na kushusha abiria kama ni Sleep way au kule kisiwani Mbudya.