Naomba kujuzwa hii imeakaaje kisheria kuhusu Mkurugenzi kuteuliwa na Rais lakini Waziri kuwa na mamlamka ya kisheria kumsimamisha kazi

kukumsela

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2018
Posts
725
Reaction score
917
Wajuzi naomba kujua hii ipoje maana waziri anayo mamlamka kisheria kumsimamisha kazi wateule wa rais kama vile maDc, maRc, makatibu wakuu wa wizara nk.

Naomba kupewa elimu katika hilo.
 
Hii ni mpya kabisa.

UMMY anakuja na speed lakini atambue kuwa kamahajamhusisha mteuaji na kuridhia, akichachamaa itakula kwake.

Hapo anachokifanya ana question credibility ya ofisi ya mtruaji.

Kwa kifupi kufanya hivyo ni insubordination.

HATARI SANA.

Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
 
Ngoja waje wajuzi
 
Nadhani hakuna aliyetenguliwa, kumekuwa na tuhuma za ubadhirifu na matumizi mabaya ya ofisi.

Waziri Ummy ameagiza uchunguzi na kwa sheria za utumishi nadhani huwezi chunguzwa ukiwa ofisini hivyo Ummy amewa simamisha kupisha uchunguzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sawa yeye kamsimamisha kazi, hajatengua Ukurugenzi wake! Atakayetengua au kumfukuza kazi ni yule yule aliyemteua! Waziri yupo sahihi kabisa! Mamlaka yake ni kumsimamisha siyo kumfukuza! Akitaka afukuzwe lazima amshauri Rais kulingana ns uzito wa makosa.
 
Ndio. Anayo mamlaka ya kumsimamisha kazi hadi hapo uchunguzi utakapokamilika. Mamlaka ya kumfukuza kazi anayo yule aliyemteua na anaweza kufanya hivyo baada ya uchunguzi kubaini kuwa makosa anayotuhumiwa nayo ni ya kweli. Waziri hana mamlaka ya kumfukuza kazi.
 
Vivyo hivyo ana mamlamka pia ya kumsimamisha kazi maDc, maRc? ndo kiini cha swali mkuu ingependeza ujikite kwenye mada husika mkuu
 
Je kwa maDc na maRc anao uwezo wa kuwasimamisha kazii? Ndo swali langu hilo
 
Jiwe ndio alileta hii tabia ya DED kuwa mteule wa Rais lakini kwenye taratibu alitakiwa awe anateuliwa na PM baada ya kupendwkezwa majina na vetting team
 
Angejifunza kwa waziri mkuu alimsimamisha mkurugenzi wa fedha yule mwingine akaacha kwa sababu hana mamlakq naye
 
Je kwa maDc na maRc anao uwezo wa kuwasimamisha kazii? Ndo swali langu hilo
Dc na RC hao wako serikali kuu ila wakurugenzi wao wako serikali za mitaa hivyo Waziri wa tamisemi anaweza kuwasimamisha na kuwachunguza
 
Mh kwani aliesimamishwa ni Nani[emoji2957]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…