Naomba kujuzwa hii imeakaaje kisheria kuhusu Mkurugenzi kuteuliwa na Rais lakini Waziri kuwa na mamlamka ya kisheria kumsimamisha kazi

Waziri ni mteule wa rais wa ngazi ya juu, hivyo anayo mamlaka ya kuwasimamisha wateule wa rais ngazi ya chini, tumeelewana?
 
Watatatapa tapa wanaohangaika na Sa100
 
Waziri ni mteule wa rais wa ngazi ya juu, hivyo anayo mamlaka ya kuwasimamisha wateule wa rais ngazi ya chini, tumeelewana?
Thibitisha kauli yako kwa kutumia sheria mkuu
 
Vivyo hivyo ana mamlamka pia ya kumsimamisha kazi maDc, maRc? ndo kiini cha swali mkuu ingependeza ujikite kwenye mada husika mkuu

Ndiyo anayo mamlaka, kwa sababu kumsimamisha mtu siyo kumfukuza kazi
 
Back
Top Bottom