N Nyumisi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2010 Posts 13,499 Reaction score 19,292 Apr 25, 2021 #21 Waziri ni mteule wa rais wa ngazi ya juu, hivyo anayo mamlaka ya kuwasimamisha wateule wa rais ngazi ya chini, tumeelewana?
Waziri ni mteule wa rais wa ngazi ya juu, hivyo anayo mamlaka ya kuwasimamisha wateule wa rais ngazi ya chini, tumeelewana?
ofisa JF-Expert Member Joined May 15, 2011 Posts 4,340 Reaction score 4,069 Apr 25, 2021 #22 Watatatapa tapa wanaohangaika na Sa100
Eng. Zezudu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 8,024 Reaction score 11,546 Apr 25, 2021 #23 Amechaguliwa kuwa waziri na kupewa maagizo akuwashughulikie wale ambao hawajashughulikiwa na Jafo Sent using Jamii Forums mobile app
Amechaguliwa kuwa waziri na kupewa maagizo akuwashughulikie wale ambao hawajashughulikiwa na Jafo Sent using Jamii Forums mobile app
kukumsela JF-Expert Member Joined Oct 13, 2018 Posts 725 Reaction score 917 Apr 25, 2021 Thread starter #24 Nyumisi said: Waziri ni mteule wa rais wa ngazi ya juu, hivyo anayo mamlaka ya kuwasimamisha wateule wa rais ngazi ya chini, tumeelewana? Click to expand... Thibitisha kauli yako kwa kutumia sheria mkuu
Nyumisi said: Waziri ni mteule wa rais wa ngazi ya juu, hivyo anayo mamlaka ya kuwasimamisha wateule wa rais ngazi ya chini, tumeelewana? Click to expand... Thibitisha kauli yako kwa kutumia sheria mkuu
Malaika Mkuu JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 902 Reaction score 909 Apr 26, 2021 #25 Nakumbuka wale walionunua ma VX na V8. Anayekumbuka mwingine alete matokeo. Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
Nakumbuka wale walionunua ma VX na V8. Anayekumbuka mwingine alete matokeo. Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
Maulaga59 JF-Expert Member Joined Feb 1, 2021 Posts 2,984 Reaction score 2,971 Apr 27, 2021 #26 kukumsela said: Vivyo hivyo ana mamlamka pia ya kumsimamisha kazi maDc, maRc? ndo kiini cha swali mkuu ingependeza ujikite kwenye mada husika mkuu Click to expand... Ndiyo anayo mamlaka, kwa sababu kumsimamisha mtu siyo kumfukuza kazi
kukumsela said: Vivyo hivyo ana mamlamka pia ya kumsimamisha kazi maDc, maRc? ndo kiini cha swali mkuu ingependeza ujikite kwenye mada husika mkuu Click to expand... Ndiyo anayo mamlaka, kwa sababu kumsimamisha mtu siyo kumfukuza kazi
kukumsela JF-Expert Member Joined Oct 13, 2018 Posts 725 Reaction score 917 Apr 27, 2021 Thread starter #27 Maulaga59 said: Ndiyo anayo mamlaka, kwa sababu kumsimamisha mtu siyo kumfukuza kazi Click to expand... Waziri wa wizara gani anamamlaka dhidi ya madc?
Maulaga59 said: Ndiyo anayo mamlaka, kwa sababu kumsimamisha mtu siyo kumfukuza kazi Click to expand... Waziri wa wizara gani anamamlaka dhidi ya madc?