The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,071
- 1,361
Habari za asubuhi wana Jf
Nilikua naomba kuuliza miaka ya nyuma kwenye karne ya 12 mpaka 19 hivii kulikua kuna Binadamu walkua wana miili mikubwa sana na pia walikua wana nguvu sana.
Mfano mimi nilikua na Babu yangu anabeba Gunia la mahindi peke yake na pia alikua ana uwezo wa kumpiga ng"ombe mkubwa kibao au ngumii akaanguka chini kabisa inashangaza.
Hawa watu sasa hivi wako wachache sana wapo sana kwa wingi Marekani, na Baadhi ya Nchi za Africa magharibi Kama Senegal ndo wanapatikana hawa maa giant na baadhi hapa Tanzania wanapatiakana kama usukumani kuna
baadhi ya Wasukuma wana miili mikubwa.
Naomba kujuzwa hii species imepotelea wapi? na nini chanzo cha hii Jamii ya watu wa namna hii kubaki wachache saana?
Asanteni nawasilisha.