Naomba kujuzwa hii species ya watu wenye miili mikubwa imepotelea wapi?

Naomba kujuzwa hii species ya watu wenye miili mikubwa imepotelea wapi?

Technology ndio imeleta hii generation watu hawatembei tena miles , Mashine za Kuwafanyia kazi zimejaa ivo Mambo ya Kuminyana yanayojenga muscles za mwili yamepungua sana,
 
Chakula kina changia nimeona msenegal anakula bamia mbichi na nyanya chungu pembeni ugali tunao weza kula wana daresalama wanne wenye njaa
 
Habari za asubuhi wana Jf
Nilikua naomba kuuliza miaka ya nyuma kwenye karne ya 12 mpaka 19 hivii kulikua kuna Binadamu walkua wana miili mikubwa sana na pia walikua wana nguvu sana.

Mfano mimi nilikua na Babu yangu anabeba Gunia la mahindi peke yake na pia alikua ana uwezo wa kumpiga ng"ombe mkubwa kibao au ngumii akaanguka chini kabisa inashangaza.

Hawa watu sasa hivi wako wachache sana wapo sana kwa wingi Marekani, na Baadhi ya Nchi za Africa magharibi Kama Senegal ndo wanapatikana hawa maa giant na baadhi hapa Tanzania wanapatiakana kama usukumani kuna
baadhi ya Wasukuma wana miili mikubwa.

Naomba kujuzwa hii species imepotelea wapi? na nini chanzo cha hii Jamii ya watu wa namna hii kubaki wachache saana?

Asanteni nawasilisha.
Pita huku kuna wajuzi walishusha nondo unaweza pata majibu yako

DID GIANTS EXIST? Historia ya Majitu ya Kale
 
Nlimsoma jamaa nikidhani ameandika kisomi.but amenisikitisha kusema habar za babu yake karne ya 12 hizi stories zipo sana hata mtaani kuna jamaa wanasema alikuwa mkoa flani yeye nuts za kufungia tairi la gari scania anafunga kwa mkono na kufungua...actually stories hizi zilikuwa zinasaidia kijiweni pasiwe kimya sana.

Giants wapo ni wachache sabab hata KABLA YA KRISTO WALIKUWEPO WACHACHE PIA mfano wa yule mfilist aliyepigwa na daudi.

Ungetupa matokea ya utafiti kuwa binadamu wa miili mikubwa wanatoweka duniani tungekuelewa lkn mambo hayaendi kwa hisia tu. By the way kwa teknolojia ilivyokuwa ukiwa bado unabeba gunia la mahindi manually unatakiwa ukapimwe akili. Baadaye utauliza kwanini siku hizi watu hawatembei umbali mrefu maana zamani watu walikuwa wanatembea hadi km 100
 
Nimecheka sana nliposoma andiko lako.
ila katika issue ya karne naona umeteleza, afu sidhan babu yako anaingia katika kundi la ma giant sabab kapiga ng'ombe kibao anaanguka,
Ni hivi, mabadiriko ya hali ya hewa, kunabadirisha tamaduni za watu, kama vyakula na changamoto zetu za maisha hivyo kufanya miili yetu nayo kubadirika very slow, lakini uwezo wao wa IQ unaongezeka ili waweze pambana na mazingira,
Leo binadamu hategemei mvua tena ili alime, jeshi haliangalii umbo kama kigezo kikuu cha mtu kujiunga kama hapo awali.

so unaona tulivyopitia mabadiriko japo hayo ni very current. wale watu wazamani walikuwa wanamauombo makubwa sanaa ila walikua wanauwezo mdogo sana wa kupambanua changamoto za mazingira.

thus why maumbo ya mwanadamu yanatofautina lingana na kanda anayoishi, mtu wa East Africa huwezi fanamisha na Msenegal au Cameroon.
 
Siku

Siku hizi kuna specie za watu wenye miili midogo na wanabeba hayo hayo magunia.
Vile vile kuna specie za watu wenye vichwa vikubwa na akili ndogo
Hahaha.[emoji1] Mara ya mwisho kupimwa mkojo lini mkuu
 
Back
Top Bottom