Naomba kujuzwa hii species ya watu wenye miili mikubwa imepotelea wapi?

Technology ndio imeleta hii generation watu hawatembei tena miles , Mashine za Kuwafanyia kazi zimejaa ivo Mambo ya Kuminyana yanayojenga muscles za mwili yamepungua sana,
 
Chakula kina changia nimeona msenegal anakula bamia mbichi na nyanya chungu pembeni ugali tunao weza kula wana daresalama wanne wenye njaa
 
Pita huku kuna wajuzi walishusha nondo unaweza pata majibu yako

DID GIANTS EXIST? Historia ya Majitu ya Kale
 
Nlimsoma jamaa nikidhani ameandika kisomi.but amenisikitisha kusema habar za babu yake karne ya 12 hizi stories zipo sana hata mtaani kuna jamaa wanasema alikuwa mkoa flani yeye nuts za kufungia tairi la gari scania anafunga kwa mkono na kufungua...actually stories hizi zilikuwa zinasaidia kijiweni pasiwe kimya sana.

Giants wapo ni wachache sabab hata KABLA YA KRISTO WALIKUWEPO WACHACHE PIA mfano wa yule mfilist aliyepigwa na daudi.

 
Nimecheka sana nliposoma andiko lako.
ila katika issue ya karne naona umeteleza, afu sidhan babu yako anaingia katika kundi la ma giant sabab kapiga ng'ombe kibao anaanguka,
Ni hivi, mabadiriko ya hali ya hewa, kunabadirisha tamaduni za watu, kama vyakula na changamoto zetu za maisha hivyo kufanya miili yetu nayo kubadirika very slow, lakini uwezo wao wa IQ unaongezeka ili waweze pambana na mazingira,
Leo binadamu hategemei mvua tena ili alime, jeshi haliangalii umbo kama kigezo kikuu cha mtu kujiunga kama hapo awali.

so unaona tulivyopitia mabadiriko japo hayo ni very current. wale watu wazamani walikuwa wanamauombo makubwa sanaa ila walikua wanauwezo mdogo sana wa kupambanua changamoto za mazingira.

thus why maumbo ya mwanadamu yanatofautina lingana na kanda anayoishi, mtu wa East Africa huwezi fanamisha na Msenegal au Cameroon.
 
Siku

Siku hizi kuna specie za watu wenye miili midogo na wanabeba hayo hayo magunia.
Vile vile kuna specie za watu wenye vichwa vikubwa na akili ndogo
Hahaha.[emoji1] Mara ya mwisho kupimwa mkojo lini mkuu
 
Cjui jamaa mtoa mada alikurupushwa na nn..... uongo mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…