Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usije ukajichanganya kuoa mwanamke wa kabila hilo maana utake usitake utatolewa kafara tu kwa kuleta utajiri home.
Familia nyingi za wakinga ni nadra sana kumkuta mume yu hai kwa muda mref ktk ndoa
Mapembelooo
watanzania kwa imamni za kishirikina ndo wenyewe hata aliyeanzisha uzi huu si ajabu naye mshirikina alienda kujaribu ndumba zake kwa wakinga zikagonga mwamba sasa kilichobaki kwake ni matusi kwa wakinga. kijana fanya kazi achana na mawazo potofu. wakinga ni habari nyingine mjini ni chuo kikuu cha biashara kuliko elimu inayotolewa na CBE. UKITAKA MAFANIKIO WAONE WAKUFUNDISHE MBINU ZA BIASHARA. MAFANIKIO YA WAKINGA NI MFUMO WA MAISHA NA MAFUNDISHO TOKA KWA WAZAZI WAO WALIOWAELIMISHA JINSI YA KUTUNZA PESA, KUFANYA KAZI KWA WELEDI WAO WANASEMA UVOMBAGE IMBOMBO NU LUHANA NU LWOTSI YAANI FANYA KAZI KWA AKILI NA UMAKINI, HIYO NDO FALKSAFA YA MKINGA NA NDO UCHAWI UNAWASHINDA WATU WENGINE. JARIBU MWAKA MMOJA KUMPA MKINGA KAZI YA URAIS BASI WATANZANIA WOTE WATAKUWA WAJASIRIAMALI, UCHAWI GANI WA KUTEMBEA TOKA UYOLE HADI MAKAMBAO KWA MGUU? UKUMBUKE HUYU ANYEFANYA HIVYO AMEPEWA BIDHAA NA TAJIRI WA KIKINGA MWENZAKE AMBAYE ANAMUAMBIA MTAJI WAKO NI MGUU WAKO KUTAFUTA WATEJA. KWAHIYO HISIA ZA WIVU, USIDANDIE MAFANIKIO UKIONA CHA ELEA KIMEUNDWA, WAKINGA WAMEFUNDWA KUFANYA BIASHARA, NA SASA WAMEINGIA DIGITAL, HAKUNA KUIBIWA TENA NA WAFANYAKAZI (WACHAGA) WA TRA. KOLIKOLI WAMEKAMATA KARIAKOO, MANZESE NA KWINGINEKO HASA NYANDA ZA JUU KUSINI, WAO WALIACHANA NA USHIRIKINA USIO NA TIJA WA KUUANA KAMA WAFANYAVYO WATU WENGINE HALAFU HAKUNA MAENDELEO. ADUI MPENDE JIFUNZE KWAKEkazi imeanza
vp kwenye upande wa mahusiano wa wazidi wahaya?