Naomba kujuzwa Hospital inayotibu mtu alievunjika mfupa

Naomba kujuzwa Hospital inayotibu mtu alievunjika mfupa

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
589
Reaction score
1,897
Naomba kufahamishwa, hospital Bora kwa matibabu ya mtu alievunjika Mfupa.

Nina kijana wangu amevunjika mkono naitaji kwa anae fahamu hospital ilio nzuri na inakiwango Bora Cha matibabu.
 
Naomba kufahamishwa, hospital Bora kwa matibu ya mtu alievunjika, Mfupa.

Nina kijana wangu amevunjika mkono naitaji kwa anae fahamu hospital ilio nzuri na inakiwango Bora Cha matibabu.
MOI MUHIMBILI
 
University teaching hospital Munchen, Germany. Ukifika ulizia Dr. Ludger wien. Matibabu ni bureeee kabisa
 
Back
Top Bottom