Naomba kujuzwa hospitali bora ya uzazi kwa Moshi

Naomba kujuzwa hospitali bora ya uzazi kwa Moshi

marwarwa

Senior Member
Joined
May 3, 2016
Posts
107
Reaction score
50
Naomba anayefahamu hospital nzuri kwa mambo ya uzazi. Kwa mfano kama mtu anahitaji kwenda kupima ubora wa mbegu za kiume.
 
Nenda Puma Japher maarufu kwa Jafari.
Pia unaweza kwenda kwa Dr. Mbwambo karibu na ofisi za TRA Moshi mjini.
 
Back
Top Bottom