Una mda gan kwenye ndoa???Naomba anayefahamu hospital nzuri kwa mambo ya uzazi. Kwa mfano kama mtu anahitaji kwenda kupima ubora wa mbegu za kiume.
Duh hii kali๐๐๐Naomba anayefahamu hospital nzuri kwa mambo ya uzazi. Kwa mfano kama mtu anahitaji kwenda kupima ubora wa mbegu za kiume.
Kali kivipi mkuu Ni matatizo ya kawaida kwenye jamii au umeona Ni kitu cha ajqbu Sana.Duh hii kali๐๐๐
Hope Clinic kwa doctor PendoKali kivipi mkuu Ni matatizo ya kawaida kwenye jamii au umeona Ni kitu cha ajqbu Sana.