Naomba kujuzwa hospitali ya magonjwa ya watoto kwa Dar es Salaam

omoghaka

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
293
Reaction score
166
Ndugu zangu, naomba kujuzwa hospital nzuri ya kutibu magonjwa ya watoto kwa hapa Dar es Salaam.

Kijana wangu anasumbuliwa na kifua. Nimezunguka hospital kadhaa bila msaada wa maana.

Anayejua tiba au hospital ninayoweza kupata matibabu mazuri, naomba anisaidie.
 
Ndugu zangu,naomba kujuzwa hospital nzuri ya kutibu magonjws ya watoto kwa hapa Dar rs salaam.Kijana wangu anasumbuliwa na kifua.Nimezunguka hospital kadhaa bila msaada wa maana.
Anayejua tiba au Hospital ninayoweza kupata matibabu mazuri,naomba anisaidie.
Vipi umejaribu Agakhan hospital pale ocean road

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukirudi hospital alioenda mwanzo ni rahis doctor kukupa option two ya matibabu, lakin ukienda hospital nyingine na bima yako wanaenda kuanza option one tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu, naomba kujuzwa hospital nzuri ya kutibu magonjwa ya watoto kwa hapa Dar es Salaam.

Kijana wangu anasumbuliwa na kifua. Nimezunguka hospital kadhaa bila msaada wa maana.

Anayejua tiba au hospital ninayoweza kupata matibabu mazuri, naomba anisaidie.
Pole sana. Pale Morroco nyuma ya jengo la Airtel yupo Dr. Bingwa wa Magonjwa ya watoto anaitwa Dr. Massawe. Ila kumuona ni issue sana. Lakini mle mle ndani kuna Dr. anaitwa Dr. Dulla, yupo vizuri mno na huwa anachukua time kumkagua mtoto, hana papara.

Utaratibu wao ndiyo huwa sio mzuri, kwa sababu inabidi uchukue namba mapema kabla ya matibabu na wengi huchukua asubuhi kwa sababu Dr. Dulla anaanza kazi mchana. Manesi huwa wanatumia huo mwanya kuwachomeka wenye nazo. Unaweza ukawahi namba asubuhi lakini ukatibiwa saa mbili usiku.

Nimerudi Mara nyingi lakini kijana hapati unafuu wowote.Sanasana kinatulia na kuanza tena baada ya muda mfupi.
 
Jaribu kwenda pale Legency napo wanajitahidi, nilikutana na Dr pale mtoto anatamani kila siku aende akamsalimie
 
Ndugu zangu, naomba kujuzwa hospital nzuri ya kutibu magonjwa ya watoto kwa hapa Dar es Salaam.

Kijana wangu anasumbuliwa na kifua. Nimezunguka hospital kadhaa bila msaada wa maana.

Anayejua tiba au hospital ninayoweza kupata matibabu mazuri, naomba anisaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu..hayo yashanikuta.

Najua unavyoteseka.
Jaribu kupitia huo uzi wangu hapo juu pengine utasaidia.
Mungu atajalia atapona inshallah.
Screenshot_20191214-133147.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanangu Alhamdulilah sasa kapona kabisa na anakula kila kitu na ana miaka 10 sasa ni msichana.

Alhmdulilah sikuchukua uamuzi wa haraka na kumkata kimeo kwani pengine ningemtia ulemavu na ningejuta.

Kuwa makini na maamuzi yoyote utakayotaka kufanya juu yake.

Jitahidi pia kama unampa dawa za kifua za maji syrup yaani basi uwe unampa maji asukutuwe mdomo baada kumpa maji.

Dawa za maji zikikaa kwenye meno zinaozesha meno. Yanaharibika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu, mpeleke kwa Dr Anton kinondoni B. Ni dr mzuri sana wa watoto, amesaidia wengi. Mtoto anatibiwa kwa kadi yake ya bima na hata kama huna kadi bei zake sio kubwa kivile
 
Nu
Pole sana. Pale Morroco nyuma ya jengo la Airtel yupo Dr. Bingwa wa Magonjwa ya watoto anaitwa Dr. Massawe. Ila kumuona ni issue sana. Lakini mle mle ndani kuna Dr. anaitwa Dr. Dulla, yupo vizuri mno na huwa anachukua time kumkagua mtoto, hana papara.

Utaratibu wao ndiyo huwa sio mzuri, kwa sababu inabidi uchukue namba mapema kabla ya matibabu na wengi huchukua asubuhi kwa sababu Dr. Dulla anaanza kazi mchana. Manesi huwa wanatumia huo mwanya kuwachomeka wenye nazo. Unaweza ukawahi namba asubuhi lakini ukatibiwa saa mbili usiku.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajaribu kufuatilia hapa.
Hospital inaitwaje?.
Pole mkuu, mpeleke kwa Dr Anton kinondoni B. Ni dr mzuri sana wa watoto, amesaidia wengi. Mtoto anatibiwa kwa kadi yake ya bima na hata kama huna kadi bei zake sio kubwa kivile
Thanks.
Nitajaribu hapo
 
Back
Top Bottom