Vipi umejaribu Agakhan hospital pale ocean roadNdugu zangu,naomba kujuzwa hospital nzuri ya kutibu magonjws ya watoto kwa hapa Dar rs salaam.Kijana wangu anasumbuliwa na kifua.Nimezunguka hospital kadhaa bila msaada wa maana.
Anayejua tiba au Hospital ninayoweza kupata matibabu mazuri,naomba anisaidie.
Agha Khan sijajaribu maana nasikia hawatumii Bima.
Pole sana. Pale Morroco nyuma ya jengo la Airtel yupo Dr. Bingwa wa Magonjwa ya watoto anaitwa Dr. Massawe. Ila kumuona ni issue sana. Lakini mle mle ndani kuna Dr. anaitwa Dr. Dulla, yupo vizuri mno na huwa anachukua time kumkagua mtoto, hana papara.Ndugu zangu, naomba kujuzwa hospital nzuri ya kutibu magonjwa ya watoto kwa hapa Dar es Salaam.
Kijana wangu anasumbuliwa na kifua. Nimezunguka hospital kadhaa bila msaada wa maana.
Anayejua tiba au hospital ninayoweza kupata matibabu mazuri, naomba anisaidie.
Nimerudi Mara nyingi lakini kijana hapati unafuu wowote.Sanasana kinatulia na kuanza tena baada ya muda mfupi.Ukirudi hospital alioenda mwanzo ni rahis doctor kukupa option two ya matibabu, lakin ukienda hospital nyingine na bima yako wanaenda kuanza option one tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu zangu, naomba kujuzwa hospital nzuri ya kutibu magonjwa ya watoto kwa hapa Dar es Salaam.
Kijana wangu anasumbuliwa na kifua. Nimezunguka hospital kadhaa bila msaada wa maana.
Anayejua tiba au hospital ninayoweza kupata matibabu mazuri, naomba anisaidie.
Legency = RegencyJaribu kwenda pale Legency napo wanajitahidi, nilikutana na Dr pale mtoto anatamani kila siku aende akamsalimie
Nimerudi Mara nyingi lakini kijana hapati unafuu wowote.Sanasana kinatulia na kuanza tena baada ya muda mfupi.
Asante
Nitajaribu kufuatilia hapa.Pole sana. Pale Morroco nyuma ya jengo la Airtel yupo Dr. Bingwa wa Magonjwa ya watoto anaitwa Dr. Massawe. Ila kumuona ni issue sana. Lakini mle mle ndani kuna Dr. anaitwa Dr. Dulla, yupo vizuri mno na huwa anachukua time kumkagua mtoto, hana papara.
Utaratibu wao ndiyo huwa sio mzuri, kwa sababu inabidi uchukue namba mapema kabla ya matibabu na wengi huchukua asubuhi kwa sababu Dr. Dulla anaanza kazi mchana. Manesi huwa wanatumia huo mwanya kuwachomeka wenye nazo. Unaweza ukawahi namba asubuhi lakini ukatibiwa saa mbili usiku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks.Pole mkuu, mpeleke kwa Dr Anton kinondoni B. Ni dr mzuri sana wa watoto, amesaidia wengi. Mtoto anatibiwa kwa kadi yake ya bima na hata kama huna kadi bei zake sio kubwa kivile
Naogopa vijidudu vinaweza kuweka usugu kwa kutumia dawa zilezile.Rudi palepale
Kifua lazima kitakua cha allergy.
Anatakiwa kuendelea na anti- allergy zilezile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naogopa vijidudu vinaweza kuweka usugu kwa kutumia dawa zilezile.