Naomba kujuzwa idadi ya material yatakayohitajika kwa ramani

Unforgettable

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
5,584
Reaction score
12,461
Habari zenu wakuu,naomba msaada wa kujua kwa uzoefu wenu idadi ya material yatakayohitajika kwa ramani hii ya nyumba na kama kuna chochote chakuongeza/kupunguza.

Fundi maiko wa kitaa atatumika gharama za kumtafuta/ kuchorewa na maengineer sina ndomana nimekuja kwenu naamini ntapata ushauri mzuri, roughly tuanze na kipi.

IMG_20220225_224825.jpg
 
View attachment 2131291
Cc. Kingsmann
KWANZA KABISA NUNUA BATI ZAKO 50 NA NONDO 40 UZIHIFADHI KAMA UNA SEHEMU YA KUHIFADHIA!!!

MAANA'KE HIZI NI BIDHAA AMBAZO UPANDAJI BEI WAKE UNAKATISHA TAMAA!!!!
 
Habari zenu wakuu,naomba msaada wa kujua kwa uzoefu wenu idadi ya material yatakayohitajika kwa ramani hii ya nyumba na kama kuna chochote chakuongeza/kupunguza.

Fundi maiko wa kitaa atatumika gharama za kumtafuta/ kuchorewa na maengineer sina ndomana nimekuja kwenu naamini ntapata ushauri mzuri, roughly tuanze na kipi.

View attachment 2131291
Tofali 2400 zinabaki.

Badilisha mfumo wa bati,.... weka kibaraza Cha kutosha mbele.
 
Habari zenu wakuu,naomba msaada wa kujua kwa uzoefu wenu idadi ya material yatakayohitajika kwa ramani hii ya nyumba na kama kuna chochote chakuongeza/kupunguza.

Fundi maiko wa kitaa atatumika gharama za kumtafuta/ kuchorewa na maengineer sina ndomana nimekuja kwenu naamini ntapata ushauri mzuri, roughly tuanze na kipi.

View attachment 2131291
Kamatulia haka...naona kama tofali 2000 tuu
 
Yeye aje na budget ya m10 tuu mie nashinda site napambana na mafundi. Cha msingi kwa kipindi cha ujenzi yeye anilishe na kunipa makazi
MKUU,
mzabzab USIJE KUITELEKEZA SAITI KABLA HATUA YA KUHAMIA BADO.

HEBU ANGALIA MCHANGANUO HUU MDOGO WA RAFU NILIOUFANYA HAPA CHINI KWA NYUMBA HIYO.

NIME_ASSUME SITE NI DAR.

NB: SIJAGUSA KIPENGELE CHOCHOTE CHA FINISHING YA NDANI WALA CHOO

Cc.
Unforgettable
.
ROUGH%20ESTIMATION.PNG
 
Back
Top Bottom