trigeminal
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,944
- 2,283
gharama ya boma na bati inatishakivipi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
gharama ya boma na bati inatishakivipi mkuu
Kweli mkuu wee nicheki tuu pm utafurahi mwenyewe. Cha msingi menu iwepo na kila ijumaa biriani is a mustweeeeeeee
[emoji3516]niko makini ntamtafuta
nalo linawezekana mkuu[emoji3516]
KWA NINI WEWE MWENYEWE USISIMAMIE PROJECT MKUU?
Ngoja nikupe utaratibu wangu wa ujenzi. Naenda site weekend na siku za sikukuu tu. Nanunua material inayoisha siku hio. Mfano nikianza namuuliza fundi mnaweza kujenga matofali mangapi ya msingi kwa siku? Akisema matofali 500 au 600 nanunua matofali 500 tunaingia kazini. Yakiisha hayo tutaonana weekend inayofuata mpaka nyumba inaisha,nasimamia kila hatua. Kwenye kuezeka tu ndio itabidi siku chache katikati ya wiki zihusike.Habari zenu wakuu,naomba msaada wa kujua kwa uzoefu wenu idadi ya material yatakayohitajika kwa ramani hii ya nyumba na kama kuna chochote chakuongeza/kupunguza.
Fundi maiko wa kitaa atatumika gharama za kumtafuta/ kuchorewa na maengineer sina ndomana nimekuja kwenu naamini ntapata ushauri mzuri, roughly tuanze na kipi.
View attachment 2131291
asante sana kwa muongozoNgoja nikupe utaratibu wangu wa ujenzi. Naenda site weekend na siku za sikukuu tu. Nanunua material inayoisha siku hio. Mfano nikianza namuuliza fundi mnaweza kujenga matofali mangapi ya msingi kwa siku? Akisema matofali 500 au 600 nanunua matofali 500 tunaingia kazini. Yakiisha hayo tutaonana weekend inayofuata mpaka nyumba inaisha,nasimamia kila hatua. Kwenye kuezeka tu ndio itabidi siku chache katikati ya wiki zihusike.
Nimekuja mkuu ila makisio sifanyi buree japo uwajibike hata ya matunda tu mkuuhata hawaji mkuu
haya twende kaziNimekuja mkuu ila makisio sifanyi buree japo uwajibike hata ya matunda tu mkuu
Ongeza na hii list;MKUU,
mzabzab USIJE KUITELEKEZA SAITI KABLA HATUA YA KUHAMIA BADO.
HEBU ANGALIA MCHANGANUO HUU MDOGO WA RAFU NILIOUFANYA HAPA CHINI KWA NYUMBA HIYO.
NIME_ASSUME SITE NI DAR.
NB: SIJAGUSA KIPENGELE CHOCHOTE CHA FINISHING YA NDANI WALA CHOO
Cc.
Unforgettable
.View attachment 2133263
asante kwa angalizo litazingatiwaNimazoea watu kuandaa gharama za ujenzi bila kwenda site ila huu sio utaratibu mzuri...huwa nivizuri kuona conditions ya site kwanza then ndio uadae gharama ya ujenzi.....kuna site zina mwinuko...site nyengine zipo mliman kiasi kwamba delivery ya materials ni shida...upatikanaji wa maji...etc ...changamoto huwa ni nyingi na zote hizo zinaweza kuwa tatizo....
Muaandaji gharama za ujenzi anatakiwa ayafahamu yote hayo vinginevyo tahadhari ya hali ya juu itahitajika pale anapoandaa gharama ya ujenzi