Naomba kujuzwa idadi ya material yatakayohitajika kwa ramani

Ngoja nikupe utaratibu wangu wa ujenzi. Naenda site weekend na siku za sikukuu tu. Nanunua material inayoisha siku hio. Mfano nikianza namuuliza fundi mnaweza kujenga matofali mangapi ya msingi kwa siku? Akisema matofali 500 au 600 nanunua matofali 500 tunaingia kazini. Yakiisha hayo tutaonana weekend inayofuata mpaka nyumba inaisha,nasimamia kila hatua. Kwenye kuezeka tu ndio itabidi siku chache katikati ya wiki zihusike.
 
asante sana kwa muongozo
 
Ongeza na hii list;

-Floor finishes
-Plastering
-Painting
-Ceiling works
-Electrical works
-Plumbing
-Sanitary appliances
-Doors
-Aluminium windows
-External works (Inspection chambers, septic tank, soak away pit, bio digester etc.)
-Labour charges
-Transport charges
-Dawasco
-Power connection ( Tanesco)
-Contigency ( Pesa ya dharula)

Aandae 25m +
NB: Material zinapanda bei kila siku
Budget bila usumbufu 30m ikibaki ataitumia kwa matumizi mengine.
Ukinihitaji kuandaliwa gharama nicheki PM
 
Nimazoea watu kuandaa gharama za ujenzi bila kwenda site ila huu sio utaratibu mzuri...huwa nivizuri kuona conditions ya site kwanza then ndio uadae gharama ya ujenzi.....kuna site zina mwinuko...site nyengine zipo mliman kiasi kwamba delivery ya materials ni shida...upatikanaji wa maji...etc ...changamoto huwa ni nyingi na zote hizo zinaweza kuwa tatizo....

Muaandaji gharama za ujenzi anatakiwa ayafahamu yote hayo vinginevyo tahadhari ya hali ya juu itahitajika pale anapoandaa gharama ya ujenzi
 
asante kwa angalizo litazingatiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…