Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaomba hazina.Wadau nifahamisheni ikiwa kuna punguzo ama msamaha wa kodi kwa mfanyakazi wa Serekali anayeingiza gari nchini ikiwa gari limetengenezwa ndani ya miaka 10
Kama wewe ni mtumishi wa Umma, ndiyo kuna kusamehewa kwa Ushuru wa Forodha. Ila utalipa VAT pamoja na Excise duty.Wadau nifahamisheni ikiwa kuna punguzo ama msamaha wa kodi kwa mfanyakazi wa Serekali anayeingiza gari nchini ikiwa gari limetengenezwa ndani ya miaka 10
Nenda TRA watakupa utaratibu wote.Aaah shukran mkuu, natamani kujua ni wakati gani unapaswa kuomba kabla au ukishalinunua likiwa majini linakuja?
Kama wewe ni mtumishi wa Umma, ndiyo kuna kusamehewa kwa Ushuru wa Forodha. Ila utalipa VAT pamoja na Excise duty.
Gari linapaswa kuwa na umri chini ya miaka kumi tangu kutengenezwa kwake. Pia, lisiwe gari la biashara (kubeba abiria). Wanaangalia na CC.
Unaweza kutembelea TRA kwa maelezo zaidi.
Aaah shukran mkuu, natamani kujua ni wakati gani unapaswa kuomba kabla au ukishalinunua likiwa majini
Likiwa majini linakuja,kuna document umetumiwa toka japan ndo hizo zipeleke wanazihitaji ili kuconferm mwaka wa gari,cc na kama sio la kibiashara na mambo mengine.kwa uhakika zaid visit TRA watakupa taarifa kamiliAaah shukran mkuu, natamani kujua ni wakati gani unapaswa kuomba kabla au ukishalinunua likiwa majini linakuja?