Naomba kujuzwa, je ni kweli haya madini yanayoleta tafrani Kongo tunayo hapa nchini! (coltan)

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
MADINI YOTE MUHIMU YANAYOCHIMBWA DRC CONGO, MADINI HAYO HATA SISI TANZANIA TUNAYO KATIKA MKOA WA KAGERA.

KATIKA MKOA WA KAGERA TUNA MADINI YAFUATAYO AMBAYO CONGO PIA WANAYO;

TIN (CASSITERITE)

NICKEL

COBALT

MANGANESE

TANTALUM (COLTAN)

TUNGSTEN ( WOLFRAMITE)

HAYA MADINI MKOA WA KAGERA YAPO KWA WINGI NA YAPO MAKAPUNI YANAPIGA KAZI HUKO.

#Copied somewhere!
 
Coltan ipo Tqnzania mku.

HAYA MADINI MKOA WA KAGERA YAPO KWA WINGI NA YAPO MAKAPUNI YANAPIGA KAZI HUKO.
CCM kama wana mkono wao hapo huwezi kusikia kitu, unakumbuka kuna Uzi uliletwa hapa jamvini, mwaka jana au mwaka juzi kuhusu kampuni ya siri kuchimba madini maeneo kati ya mkoa wa Tabora na singida? Na kwamba kati kati ya msitu kuna kiwanja kidogo cha ndege? Na kuna makazi ya watu humo ndani? kwahio inawezekana sana hayo madini yapo but......nina watoto mie, ngoja niishie hapa.
 
🤣
 
Back
Top Bottom