Naomba kujuzwa jinsi ya kulipia elfu 30 kama ada ya kuombea mkopo bodi ya mikopo

Naomba kujuzwa jinsi ya kulipia elfu 30 kama ada ya kuombea mkopo bodi ya mikopo

Meneja wa makampuni na kuomba mikopo ya bodi wapi na wapi?
 
Mkuu acha dharau, mm sichaguagi hela. Nipo hivyo yaani, nachukua zote.
Najua lengo lako ni kunichafua tu hapa jamii forum. Siwezi kuchafuka mkuu😂😂😂😂😂😂😂
Hahah Sasa meneja wa makampuni mi mnyonge nitakuchafuaje aisee?
 
Wakuu,

Naomba kujuzwa jinsi ya kulipia elfu 30 kama ada ya kuombea mkopo bodi ya mikopo.

Kwa njia ya MPESA.
Wanalipia benk au wakala wa crdb ukishajaza personal address hatua ya kwanza then Malipo utapewa control number za kulipia benki CRDB
 
Naomba kujua namna ya kuendelea na helsb application Kama Sina copy ya kitambulisho
 
Kama uko Dar nenda pale Mnazi Mmoja kuna maonyesho ya Vyuo Vikuu Tanzania yaliyoanza tarehe 26.07.2021 watakupa maelezo yote na kukusaidia.
 
Back
Top Bottom