Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Elfu 10 10?Sasa hapo unakua ni meneja wa makampuni gani mkuu?Tulia mkuu, pengine nawasaidia watu kuomba mkopo kisha napiga elfu 10 10
Daah kwa hio we ni meneja wa group of CO's zinazo deal na kuomba mikopo ya bodi sio?Sasa unajua wanaokuja kufanya hayo maombi ni wangapi, acha kuidharau elfu 10 utaipata bilioni.
Meneja wa makampuni vs mikopo ya bodi,ππππAcha ushamba kutoa huduma kwenye jamii inayonizunguka ni moja ya jukumu langu. Kama ninauwezo huo kwanini nisisaidie watu. πππππππ
Hahah Sasa meneja wa makampuni mi mnyonge nitakuchafuaje aisee?Mkuu acha dharau, mm sichaguagi hela. Nipo hivyo yaani, nachukua zote.
Najua lengo lako ni kunichafua tu hapa jamii forum. Siwezi kuchafuka mkuuπππππππ
Unawezaje kutoa huduma ikiwa wewe mwenyewe unahitaji huduma hiyo hiyo? Tz sihamiAcha ushamba kutoa huduma kwenye jamii inayonizunguka ni moja ya jukumu langu. Kama ninauwezo huo kwanini nisisaidie watu. πππππππ
Wanalipia benk au wakala wa crdb ukishajaza personal address hatua ya kwanza then Malipo utapewa control number za kulipia benki CRDBWakuu,
Naomba kujuzwa jinsi ya kulipia elfu 30 kama ada ya kuombea mkopo bodi ya mikopo.
Kwa njia ya MPESA.
Tulia kwanza Tozo zikunyosheeeeeeeππππUnawezaje kutoa huduma ikiwa wewe mwenyewe unahitaji huduma hiyo hiyo? Tz sihami
Angalia haijaandikwa Optional? Kama ni optional manake unaruhusiwa kujaza sehemu zinazofuataNaomba kujua namna ya kuendelea na helsb application Kama Sina copy ya kitambulisho
Kitambulisho kipi unacho maanisha?Naomba kujua namna ya kuendelea na helsb application Kama Sina copy ya kitambulisho