Mimi mstaarabu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 262
- 577
Halmashauri ni mwendo wa kujitolea tuNdugu zangu
Naomba kujua jinsi ya kupata kazi halmashauri yoyote tanzania.
Je bila connection unaweza kupata kazi? Manispaa?
Nimesoma Human Resource nmemaliza mwaka jana. Sina connection.
DahHalmashauri ni mwendo wa kujitolea tu
siku izi ajira zote Inazotangazwa na halmashauri zinasimamiwa na PSRS janja janja imepingua siku izi sio kama zamana ukifahamiana na mkurugenzi tu kazi umepataNdugu zangu
Naomba kujua jinsi ya kupata kazi halmashauri yoyote tanzania.
Je bila connection unaweza kupata kazi? Manispaa?
Nimesoma Human Resource nmemaliza mwaka jana. Sina connection.