Naomba kujuzwa juu ya Govt Bonds, ununuzi wa hisa DSE, Mutual bonds na UTT-Amis

Kikubwa tunaipataje hio 1.5B jamani maana hii ndio kila kitu. Yani uki diversify kama ulivyosema hapo ni bata mpaka kudedi. Ada zote zinalipwa January baada ya gawio la BOT 😂😂😂
 
Swali langu: hiki chama chakavu Ccm kutokana na mwenendo wake wa kuchota pesa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, hawawezi kuja kuchota pesa kwenye huu mfuko wa UTT na kuufilisi kiasi ukashindwa kutulipa sisi wawekezaji wake?Tumeshuhudia wanavyochota mifuko kama Nssf na NHIF bila security na kuzitumbua.
 
Unyama sana naskia pia unaweza kukopea mkopo..like ukanunua nyumba au gari kwa kutumia bonds then zitajilipa mdogo mdogo na pesa yako inabaki palepale..and that's how rich people do, hawanunui assets kwa pesa yao mfukoni kama vile mo alivyotufanyia wanasimba billion 20 zikawekezwa mahali then tunalipwa mdogomdogo kwa gawio so hata baada ya kumaliza kutulipa b20 zake ziko palepale na zimezaa. Tajiri atabaki kuwa tajiri tu
 
Oyaaa umetishaaa...
Nije Inbox Kwa maswali zaidi Kwa mawasiliano ya kawaida..?
 
Oyaaa umetishaaa...
Nije Inbox Kwa maswali zaidi Kwa mawasiliano ya kawaida..?
 
Maelezo mazuri sana mkuu.
Mimi naomba formula ya compound interest ili nijue nianze na mtaji kiasi gani UTT fund bond.
 
Kwa ufupi ni unazungumzia masoko ya fedha....Siyo mutual bonds bali ni Mutual funds.
 
Hapo kwenye 1.5b ndo kipengele,sisi jobless unatoka wapi mpunga kama huo
 
Uzi mzuri,ila huyo bwana hapo katolea mfano ukiwa na 1.5b,sasa kwa sisi ungaunga ukiwa na kati ya 20m to 50m tuanze na mfuko gani hapo ili maisha yanyooke....
 
Uzi mzuri,ila huyo bwana hapo katolea mfano ukiwa na 1.5b,sasa kwa sisi ungaunga ukiwa na kati ya 20m to 50m tuanze na mfuko gani hapo ili maisha yanyooke....
Gawa hiyo pesa uweke
Liquid
Bond
 
Hii 3m yangu niweke wapi bond au liquid 😶
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…