Naomba kujuzwa kati ya Toyota Spacio v/s Toyota Wish

Naomba kujuzwa kati ya Toyota Spacio v/s Toyota Wish

Kiuhalisia,

Spacio na wish, ni sawa na 'jiwe na yai'

Haina ubishi kuwa spacio ndio 'the best' maana 'spacio' ni corolla.

Na sote tunajua kiasi gani corolla zilivyo imara, na ukizingatia hali za barabara zetu zilivyo pamoja na mafundi wetu kwa ujumla.

Spacio, unaweza kwenda nayo hata shamba, while wish huwezi.

Na kwa upande wa bei

Spacio bei yake ni sawa na wish

Zimezidia takriban 800,000 hivi.

Kaeibu uagize kupitia kamouni yetu, upate nafasi ya kuagiza kwa malipo ya awamu awamu ya hadi miezi 7.
Kati ya Toyota Spacio na Toyota Wish ipi ni imara na inafaa kwenye mazingira yetu ya barabara mchanganyiko (tembea kidogo kwenye rami na kidogo kwenye vumbi)

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Huku gari lako ukiwa nalo mwenyewe.

Karibu ofisini kwetu.
 
Asante Sana muuliza swali kati ya wish na spacio Kama kuna MTU ana spacio namba d nyeusi aje ibox tubadilishane gari na pesa
 
Kiuhalisia,

Spacio na wish, ni sawa na 'jiwe na yai'

Haina ubishi kuwa spacio ndio 'the best' maana 'spacio' ni corolla.

Na sote tunajua kiasi gani corolla zilivyo imara, na ukizingatia hali za barabara zetu zilivyo pamoja na mafundi wetu kwa ujumla.

Spacio, unaweza kwenda nayo hata shamba, while wish huwezi.

Na kwa upande wa bei

Spacio bei yake ni sawa na wish

Zimezidia takriban 800,000 hivi.

Kaeibu uagize kupitia kamouni yetu, upate nafasi ya kuagiza kwa malipo ya awamu awamu ya hadi miezi 7.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huku gari lako ukiwa nalo mwenyewe.

Karibu ofisini kwetu.
Tutafutane Kama uko serious about it
 
Kwenye ishu ya body spacio anamzidi sana wish. Wish zinakongoroka sana chini, labda utembelee kwenye lami tu.
 
Back
Top Bottom