Naomba kujuzwa kazi ya vidonge viitwavyo Viviani?

Naomba kujuzwa kazi ya vidonge viitwavyo Viviani?

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
9,140
Reaction score
15,963
Naomba kujuzwa matumizi ya hivi vidonge Vivian, maana kuna mtu anaumwa kichwa kaandikiwa hivyo avitumie lakini havimsaidii.

Asanteni
 
Naomba kujuzwa matumizi ya hivi vidonge Vivian, maana kuna mtu anaumwa kichwa kaandikiwa hivyo avitumie lakini havimsaidii.
Asanteni
Vidonge vile ni ant-pain, hutumiwa kuondoa maumivu, ila maumivu yakizidi muone daktari!
 
hivi vidonge Vivian
Takwimu za watumiaji zinaonyesha kuwa asilimia 20, huwa hivi vidonge haviwasaidii kabisa,
1636944562149.png

Nadhani yeye ni miongoni mwa hao asilimia ndogo, hivyo ni vyema aende hospitali aonane na daktari kwa msaada zaidi.
 
Back
Top Bottom