Naomba kujuzwa kazi ya vidonge viitwavyo Viviani?

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
9,140
Reaction score
15,963
Naomba kujuzwa matumizi ya hivi vidonge Vivian, maana kuna mtu anaumwa kichwa kaandikiwa hivyo avitumie lakini havimsaidii.

Asanteni
 
Naomba kujuzwa matumizi ya hivi vidonge Vivian, maana kuna mtu anaumwa kichwa kaandikiwa hivyo avitumie lakini havimsaidii.
Asanteni
Vidonge vile ni ant-pain, hutumiwa kuondoa maumivu, ila maumivu yakizidi muone daktari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…