Naomba kujuzwa kina cha msingi kwa ardhi ya kichanga na iliyo tambalale

Naomba kujuzwa kina cha msingi kwa ardhi ya kichanga na iliyo tambalale

Sagungu 1914

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
938
Reaction score
581
Naomba msaada jamani kwa wenye ufahamu,ni kina kipi kinatakiwa kuchimbwa kwa msingi kwa ardhi ya kichanga na iliyo eneo tambalale.

KARIBUNI WADAU.
 
Mpe fundi ajenge wewe sio wa kwanza kujenga fundi anaelewa.
Mkuu kama una elimu msaidie. Jibu lako halina afya halafu ni kama unamwonea wivu tu kwa yeye kujenga. Sio wa kwanza ndio na ndio maana anauliza kwa nyie mliojenga mumpe uzoefu.
 
Mkuu kama una elimu msaidie. Jibu lako halina afya halafu ni kama unamwonea wivu tu kwa yeye kujenga. Sio wa kwanza ndio na ndio maana anauliza kwa nyie mliojenga mumpe uzoefu.
Hili sio jibu? Sawa ngoja nimuonee huo wivu.
 
vipimo vyote vinapatikana kwenye mchoro wa ramani... ramani ya nyumba inaelekeza kila kitu. Mchora ramani atakagua site yako na kujua msingi wako utaenda chini kiasi gani kutokana na aina ya udongo na kadhalika.
ushauri: usijenge nyumba bila kuwa na ramani iliyochorwa na mtalaamu (architecturer) na kupitishwa na halmashauri ya eneo husika.
 
Back
Top Bottom