vipimo vyote vinapatikana kwenye mchoro wa ramani... ramani ya nyumba inaelekeza kila kitu. Mchora ramani atakagua site yako na kujua msingi wako utaenda chini kiasi gani kutokana na aina ya udongo na kadhalika.
ushauri: usijenge nyumba bila kuwa na ramani iliyochorwa na mtalaamu (architecturer) na kupitishwa na halmashauri ya eneo husika.