Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya kuuza mayai

Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya kuuza mayai

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
4,493
Reaction score
5,591
Habari napenda ulizia kwa anaejua au anaefanya biashara ya kuuza mayai , hasa haya mahususi ya kupikia chipsi wakuu.

Anijuze napenda kuanza biashara hii

Location ni Moshi Mjini...
 
Hints mayai yanazalishwa mkoani Tanga , then yatakuwa yanasafirishwa mpaka Moshi mjini kwa mfumo wa trey , so mwenye info kuhusu biashara hii anijuze please
 
Hints mayai yanazalishwa mkoani Tanga , then yatakuwa yanasafirishwa mpaka moshi mjini kwa mfumo wa trey , so mwenye info kuhusu biashara hii anijuze please
Moshi hayapo hadi uyatoe mbali hivyo? Hivi kibo poultry hawana mayai au bei?
 
Habari napenda ulizia kwa anaejua au anaefanya biashara ya kuuza mayai , hasa haya mahususi ya kupikia chipsi wakuu.

Anijuze napenda kuanza biashara hii

Location ni Moshi Mjini...
Yaan kule umepeleka code alafu huku umekuja kufunfua uzi wa kuuza mayai ?
[emoji3][emoji3][emoji3] yamekukuta na wewe umeamua kuwapoteza maafisa

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Habari napenda ulizia kwa anaejua au anaefanya biashara ya kuuza mayai , hasa haya mahususi ya kupikia chipsi wakuu.

Anijuze napenda kuanza biashara hii

Location ni Moshi Mjini...
Usiishie kwenye hayo tu, nunua hata viza yatunze mwakani na mwaka keshokutwa kuna uchaguzi utakuja kunishukuru
 
Back
Top Bottom