Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya kuuza mayai

Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya kuuza mayai

Biashara siyo mbaya ila inategemea vyanzo vyako je ni uhakika?....Kuna msimu ikifika baridi mayai yanakata hayapatikani na huo muda wafugaji hawatakagi mazoea....kama inategemea chanzo Kimoja utateseka sana...always faida huanzia jero hadi buku jero Kwa Kila try ....bei hubadilika mara Kwa mara.
 
Back
Top Bottom