Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya mchele

Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya mchele

Joined
Jul 8, 2023
Posts
22
Reaction score
20
Habari wakuu, naombeni ushauri, mawazo na msaada wa kupata soko kwenye biashara ya mchele. Natoa mchele wilaya mpya ya songwe, mchele ni mzuri sana.

Aliye na uhitaji nao tufanye biashara wakuu tuinuane.

Ahsanteni na Karibuni.
 
Biashara ya mchele. Biashara ya mchele ni nzuri sana ukipata soko, nawaombeni wakuu yeyote mwenye ushauri, mawazo na msaada wa soko la mchele, natoa mchele wilaya mpya ya Songwe pembezoni mwa ziwa Rukwa. Bidhaa hii ya mchele ni nzuri sana na umenyooka na unanukia vizuri.

Karibuni sana.

WhatsApp number; 0742371854
 
Hiyo imenishinda kwasababu mimi nipo mtwara na huku kilo moja ni 2100
Bidhaa ya mchele inauzwa kulingana na ubora wake ndio maana utashangaa kuona mchele unauzwa mpaka 1600-1800 kwa sababu umekatika sana wakati wanakoboa na wakati mwingine unakua mchafu. Ukiona bei hizi ni kubwa sababu ni mzuri, umenyooka na ni msafi. Karibuni wadau wengine pia wanaojua zaidi na wenye mitazamo tofauti.
Ahsante
 
Yaani kwa hiyo bei ya 3000 kwa kilo uzia huko huko mbeya maana hata dar bei imeshuka...

Au weka stock mpaka mwez wa 12
Ahsante sana, kweli kuanzia mwishoni mwa mwezi wa tano mpaka sasa bado baadhi ya sehemu wanaendelea kuvuna mpunga hivyo mchele kwa sasa unapatikana kwa wingi sana ndio maana soko limekua gumu.
 
Back
Top Bottom