BiasharaMafanikio-Athanas
Member
- Jul 8, 2023
- 22
- 20
- Thread starter
- #21
Ahsante sana, nitafute tani ngapi mkuuOngezea mtaji tuunge mzgo uende abroad
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana, nitafute tani ngapi mkuuOngezea mtaji tuunge mzgo uende abroad
Umewahi kuifanya biashara ya mchele kwa upana? Mimi kitambo nilikuwa na usafiri nimewabebea sana mchele wafanyabiashara wa masasi,newala ,mtwara nk kwahiyo ninachokuambia nakijuaBidhaa ya mchele inauzwa kulingana na ubora wake ndio maana utashangaa kuona mchele unauzwa mpaka 1600-1800 kwa sababu umekatika sana wakati wanakoboa na wakati mwingine unakua mchafu. Ukiona bei hizi ni kubwa sababu ni mzuri, umenyooka na ni msafi. Karibuni wadau wengine pia wanaojua zaidi na wenye mitazamo tofauti.
Ahsante
Sawa sawa, nimekuelewaUmewahi kuifanya biashara ya mchele kwa upana? Mimi kitambo nilikuwa na usafiri nimewabebea sana mchele wafanyabiashara wa masasi,newala ,mtwara nk kwahiyo ninachokuambia nakijua
Unajua kuna mahala nimeona kaandika kuwa biashara yake inakosa wateja nikamuuliza bei anataja 3000 namuambia mchele umeshuka mno bei huu ni wakati wa mavuno halafu anaanza kuniambia mara umenyooka upo vizuri sio chenga nikaona bora niachane nae amekuwa mjuaji sanaYaani kwa hiyo bei ya 3000 kwa kilo uzia huko huko mbeya maana hata dar bei imeshuka...
Au weka stock mpaka mwez wa 12
Wilaya ni SongweJina LA wilaya mkuu. Please
Ni sahihi mkuu.Unajua kuna mahala nimeona kaandika kuwa biashara yake inakosa wateja nikamuuliza bei anataja 3000 namuambia mchele umeshuka mno bei huu ni wakati wa mavuno halafu anaanza kuniambia mara umenyooka upo vizuri sio chenga nikaona bora niachane nae amekuwa mjuaji sana
OK mkuu nifanyia wepesi mbuga nzuri nikodi. Natamani nizame topeni mwakaniWilaya ni Songwe
Sawa hakuna shida, nitakujulisha nikipata plotOK mkuu nifanyia wepesi mbuga nzuri nikodi. Natamani nizame topeni mwakani
Achana naye,kwani wengine wanauza mchele uliopinda? au anajiona yeye ndo wakwanza kuuza mchele.Unajua kuna mahala nimeona kaandika kuwa biashara yake inakosa wateja nikamuuliza bei anataja 3000 namuambia mchele umeshuka mno bei huu ni wakati wa mavuno halafu anaanza kuniambia mara umenyooka upo vizuri sio chenga nikaona bora niachane nae amekuwa mjuaji sana
Mtazamo tu mkuu, issue ni kueleweshana.Achana naye,kwani wengine wanauza mchele uliopinda? au anajiona yeye ndo wakwanza kuuza mchele.
Hiyo bei mimi nakufikishia kwako, namaanisha gharama zote ni juu yangu wewe unapokea mchele wako na kuanza kuuza au kuutumia utakavyo wewe mkuu.Mkuu huo mchele unao au unasubr wateja uwe mtu kati? Na hata kama umenyooka kama basmart kipind hchi cha mavuno unauza 300k tena upo hukooooo shamba huko unatarajia me mtu wa nanguruwe nije kuuza bei gani? Sijasafirisha, uchukuzi,ushuru, n.k hebu kuwa sirias na hyo bei.
Weka stock uuze baadaye. Mpanda unavunwa mwingi...Majimoto unavunwa mwingi hatari..kwa bei hiyo na Mbeya utapata hasara tunza uuze ukipanda. Pia nunua na mahindi inaonekana yatapanda hatariBiashara ya mchele. Biashara ya mchele ni nzuri sana ukipata soko, nawaombeni wakuu yeyote mwenye ushauri, mawazo na msaada wa soko la mchele, natoa mchele wilaya mpya ya Songwe pembezoni mwa ziwa Rukwa. Bidhaa hii ya mchele ni nzuri sana na umenyooka na unanukia vizuri.
Karibuni sana.
WhatsApp number; 0742371854
Ahsante sana mkuu.Weka stock uuze baadaye. Mpanda unavunwa mwingi...Majimoto unavunwa mwingi hatari..kwa bei hiyo na Mbeya utapata hasara tunza uuze ukipanda. Pia nunua na mahindi inaonekana yatapanda hatari