BiasharaMafanikio-Athanas
Member
- Jul 8, 2023
- 22
- 20
Nasikiliza order yako ya tani unazohitaji boss,Ton ngap zpo........?
Bei kwa gunia la 100kg.......?
NijibuNasikiliza order yako ya tani unazohitaji boss,
300,000/= Tsh kwa gunia moja la kilo 100.
Karibu.
3000/= boss, mchele ni mzuri umenyooka na msafi piaKwahiyo bei ya kilo moja ni shiling ngapi?
Ahsante sana mkuuKila la kheri Mkuu
Penye nia pana njia
3000/= kilo 1 bossNijibu
🙏🙏Ahsante sana mkuu
Hiyo imenishinda kwasababu mimi nipo mtwara na huku kilo moja ni 21003000/= kilo 1 boss
Bidhaa ya mchele inauzwa kulingana na ubora wake ndio maana utashangaa kuona mchele unauzwa mpaka 1600-1800 kwa sababu umekatika sana wakati wanakoboa na wakati mwingine unakua mchafu. Ukiona bei hizi ni kubwa sababu ni mzuri, umenyooka na ni msafi. Karibuni wadau wengine pia wanaojua zaidi na wenye mitazamo tofauti.Hiyo imenishinda kwasababu mimi nipo mtwara na huku kilo moja ni 2100
Wilaya mpya ya Songwe, kanda za juu kusini. Sehemu zipo mkuu issue ni kufika site na kwenda kutafuta wamiliki wa maeneo hayoMkuu wilaya gani hiyo na vipi mbuga za kulima zinapatikana
Jina LA wilaya mkuu. PleaseWilaya mpya ya Songwe, kanda za juu kusini. Sehemu zipo mkuu issue ni kufika site na kwenda kutafuta wamiliki wa maeneo hayo
Ahsante sana, kweli kuanzia mwishoni mwa mwezi wa tano mpaka sasa bado baadhi ya sehemu wanaendelea kuvuna mpunga hivyo mchele kwa sasa unapatikana kwa wingi sana ndio maana soko limekua gumu.Yaani kwa hiyo bei ya 3000 kwa kilo uzia huko huko mbeya maana hata dar bei imeshuka...
Au weka stock mpaka mwez wa 12