Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya vitunguu maji

leila shaha

New Member
Joined
Oct 31, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Naombeni kujuzwa kuhusu biashara ya vitunguu maji, namna ya kuvitoa mashambani na kuleta sokoni.

Bei yakununulia range yake pamoja na ya kuuzia, pia connectos za mashamban na wanakouzia sokoni.
 
Soma upate maarifa
 
Nenda tu field, humu siyo pakyupata habari za uhakika, unaweza kupata habari sahihi lakini ni ya leo, kesho mambo yamebadilika. Anzia kufanya utafiti vinapoletwa kuuzwa Dar, kama upo Dar, usianzie unaponunuwa.

Usiogope, chapa kazi.
 
Imagine mtu yupo lindi huko, ataweza kweli kufika Dar ? isitoshe ana milioni labda 2 tu. Nadhani watu wampe taarifa, atumie na rafiki waliopo Dar, Moro, mwanza nk. Vile vile atumie wasap nk.
Swali kama hili linaniambia kuwa tuna mifumo ya kibiashara ya ki primitive sana. Masoko ya Tanzania hayana platform za ku upload market trend kazi yao ni kukusanya kodi ila taarifa haziwahusu, we beba nyanya zikakudodeee kariakoo utajiju.
Watanzania tubadirke jamani tupo kama 90's.
 
Naombeni kujuzwa kuhusu biashara ya vitunguu maji, namna ya kuvitoa mashambani na kuleta sokoni.

Bei yakununulia range yake pamoja na ya kuuzia, pia connectos za mashamban na wanakouzia sokoni.
Ntafute kama upo tayari kufanya hii biashara
 
Back
Top Bottom