leila shaha
New Member
- Oct 31, 2024
- 1
- 0
Naombeni kujuzwa kuhusu biashara ya vitunguu maji, namna ya kuvitoa mashambani na kuleta sokoni.
Bei yakununulia range yake pamoja na ya kuuzia, pia connectos za mashamban na wanakouzia sokoni.
Nenda tu field, humu siyo pakyupata habari za uhakika, unaweza kupata habari sahihi lakini ni ya leo, kesho mambo yamebadilika. Anzia kufanya utafiti vinapoletwa kuuzwa Dar, kama upo Dar, usianzie unaponunuwa.Naombeni kujuzwa kuhusu biashara ya vitunguu maji, namna ya kuvitoa mashambani na kuleta sokoni.
Bei yakununulia range yake pamoja na ya kuuzia, pia connectos za mashamban na wanakouzia sokoni.
Imagine mtu yupo lindi huko, ataweza kweli kufika Dar ? isitoshe ana milioni labda 2 tu. Nadhani watu wampe taarifa, atumie na rafiki waliopo Dar, Moro, mwanza nk. Vile vile atumie wasap nk.Nenda tu field, humu siyo pakyupata habari za uhakika, unaweza kupata habari sahihi lakini ni ya leo, kesho mambo yamebadilika. Anzia kufanya utafiti vinapoletwa kuuzwa Dar, kama upo Dar, usianzie unaponunuwa.
Usiogope, chapa kazi.
Ntafute kama upo tayari kufanya hii biasharaNaombeni kujuzwa kuhusu biashara ya vitunguu maji, namna ya kuvitoa mashambani na kuleta sokoni.
Bei yakununulia range yake pamoja na ya kuuzia, pia connectos za mashamban na wanakouzia sokoni.